MJUE JINI MAHABA: Fahamu Mengi kuhusu jini mahaba
Habari wakuu!
Wengi miongoni
mwenu huona kila ninapotoa thread huona kama vile hufundisha uchawi
lakini kwa mwenye akili timamu hupata mafundisho kwa asilimia kubwa
sana!
kumekuwa na tungo
nyingi sana kuhusu jini mahaba na maelezo mengi sana kuhusu jini huyu
lakini pia watu wengi sana wanaropoka tu bila kumjua lau kama
wangemfahamu basi wangezidi kumuomba Mwenyezi Mungu awaepushe na mtihani
wa kiumbe hiki
MJUE JINI MAHABA:

Jini mahaba ni moja kati ya majini waliokuwa na nguvu sana na waliopo karibu sana na ufalme wa Dajjal/Shetani/Ibilisi/Lucifer/ ambaye pia wengine humuita mpinga christo.
Elewa ya kuwa
ndugu yangu unaesoma makala hii kwamba kuna daraja tano tu za majini
katika ulimwengu huu tunaoishi miongoni mwa ukubwa wa tabaka la majini
ambayo yanasadikika kuwa milioni 72 elfu hii ni idadi iliyopigwa na
baadhi tu ya mashetani wenyewe lakini tukizungumzia kiasiri ya majini
hawa wapo katika makundi matano peke yake,
watu wamekuwa
wakidanganywa sana kwa hadithi na baadhi ya tungo za viumbe hawa lakini
unachotakiwa kuelewa ni kwamba idadi ya viumbe hawa kwa wingi wao
anayejua ni mwenyezi Mungu peke yake na hakuna mwingine,
elewa pia ya
kwamba majini hawa mtu akikwambia
masubiani,masharifu,mashetani,mizimu,vibushuti,vinyamkela,mapepo,makudam,muwakili,ruhani,jini
mahaba,makata,shetani,subisubi na yote yalew majina mengine unayoyajua
hayo yote yapo kwenye kundi moja tu MAJINI hayana
tofauti isipokuwa tu kwa mageuzi ya maumbile yao au uhasama wao
yanayofanya au misaada yanayotoa ndio hupewa majina tofauti tofauti
kulingana na kile yalichomfanyia au yanavyoonekana,
Sasa nikija kujaaliwa basi nitawaelezea majini ili kila atakaye kuwa anatamka jini aelewe anachosema na sio kutamka tu.
Turejee kwenye kumjua huyu tuliyemkusudia,
Maana ya Jini mahaba:
asili
ya jina hili ni jina lililotungwa tu na sisi wenyewe watanzania ili
kuweza kutambulisha ni kiumbe cha namna gani tunachokuwa tumekusudia
lakini kwa maelezo unatakiwa ufahamu kuwa jini huyu kazi yake na katika
mambo ambayo anayafanya zaidi ni kuhakikisha zinaa inatawala na kazi
zote zinazohusiana na ngono,
Baadhi ya kazi zake:

Jini
huyu hutumika kutumia watu ndoto za ngono,hutumika kuwalawiti wanaume
kwa wanawake kama popo bawa hutumika pia kuwafanya au kuwashawishi wale
alionao kuingilia au kuingiliwa kinyume na maumbile, kuwaingilia watu na
kuwafanyia michezo ya kinyume na maumbile hutumika pia kuuwa kwa kubaka
pia shetani huyu,hutumika vile vile katika kuleta ufukara, hutumika pia
katika kuwafanya wazee na watu wazima kuzini na watoto wadogo na
huwafanya watu wawe na ashiki kupindukia lakini pia kubwa katika mambo
anayoyafanya ni kuwaondolea wahanga hisia za kimapenzi na kumfanya
mwanaume asiweze kusimamia uume barabara unakuwa umelegea na pia
kuwaondoshea wanawake radha ya mapenzi na wengine huwafanya kukosa
kabisa hamu ya mapenzi na kuwapa mvuto kwenye jinsia inayofanana nao,
Baadhi
ya watu humuita popobawa kulingana na yale aliyoyafanya na wengine
humuita jini mahaba kulingana na alichofanya wengine humuita majina
wanayoyajua wao lakini wazungu hawa huwaita Succubi au Succubus yaani
hiyo mmoja anakuwa ni dume na mwingine ni jike.
Yote kwa yote
elewa ewe ndugu yangu kuwa viumbe hawa hawana wema kwa mtu zaidi ya
kuweka nae mikataba ya uhakika kwamba atashindwa na kuweza kukosea
masharti kisha lile analohitaji yeye kuanza kulifanya kwa muhusika,
WALIOATHIRIWA:
Mara
nyingi walioathiriwa na kiumbe huyu huwa wanakuwa wasiri sana kwa
kuhofia fedheha kwenye jamii na pia wengi kati ya wao fedheha ikizidi
huanza kutumbukia katika ulevi uliopindukia au kuvuta bangi na
vinginevyo ili tu kuweza kuficha aibu aliyo nayo.
UTAJIJUA VIPI KAMA KAKUKUMBA:
watu wengi mara
ya kwanza anapowakumba huwafanya au kuwaingilia au kushiriki nao kinyume
na maumbile na pia huwafanya wahanga kuwa ni wenye kujificha sana na
aibu hii hata kutafuta msaada kwa maana humtia aibu katika sura yake
kuzungumzia jambo hili na kumjaza upepo wa mawazo kuwa yeye akisema au
akitaka msaada ataonekana vipi hivyo anakuwa anacheza na akili ya
muhusika,
Wengi huota wakifanya mapenzi na Mama zao au baba zao hata kaka au dada au mtu yeyote unaemuheshimu kama shangazi na wengineo.
Muhanga mwingine
hujikuta akipitiwa tu na usingizi basi huota mwanamke anakuja na kuanza
kumlazimisha au mwanaume wafanye nae mapenzi kinyume baada ya hapo
muhusika huishiwa nguvu na kukubali kufanya au kufanyiwa, wengine huona
kabisa kama kivuli live kikilazimisha kumuingilia sasa pale ambapo hata
sema na kuhangaika kutafuta msaada wa hili basi kiumbe yule huanza
kumfanyia hayo na kumshurutisha mambo mengine yaliyokuwa machafu na
kumuadhiri mbele za watu na kumfanya ajihisi kuzalaulika na kuchukiwa
bila sababu na humfanya kuwa ni mtu mwenye hasira za hovyo au mtu wa
kulipuka hovyo, jazba zinakuwa karibu nae kwa muda mwingi.
Muhanga mwingine
huyu humkumba na kumuotesha ndoto kuwa anawekewa vidole na watu sehemu
hizo za siri na kumkusanyia kundi la watu ndotoni wakionyesha kumcheka
na kumdhalau,
Muhanga mwingine
huyu humkumba na kumfanya live hata watu wakawa wanaona kinachoendelea
bila kumuona anayefanya na kuanza kuingiwa na hofu kubwa hapa wengine
hufungiwa ndani kwa kuficha fedheha nje kwa watu na asijulikane
kinachofanyika ndani.
zipo aina nyingi
sana za huyu shetani zilizo mbaya na za aibu kabisa wengine pia huzijua
waliokwisha kukutana na wahanga au wahanga wenyewe. hizi nimeweka chache
tu, zingine ni kama kutekenywa sehemu za siri na kuzikwa sehemu za
maziwa bila kumuona anaefanya hivyo na wengine kuingiziwa vidole bila
kuona anayefanya hivyo live.
Haya ikiwa
hayajakukuta au hujaona basi usidhalau na kupuuza kwa maana siku
kinakutokea usione kitu kipya au usikutwe ukiwa hujui,
TIBA YAKE:
katika
maradhi ambayo huwashinda matabibu wengi ni haya ya mashetani hawa wa
mahaba kwa maana hutakiwa tabia yule kufanya mawili kati ya haya:
1: Kufunga yule jini na kwenda kumtupa mbali(au kama kafanya mtu kumpa mwenyewe mzigo wake)
2:
Kumuua yule shetani kwa maana si rahisi kumtoa kwa makubaliano
aondoke/ukitaka kukubaliana nae ili aondoke utakiwa kufanya atakayo
amuru anaweza kukwambia ushiriki jambo lolote la kishetani ili
amuondokee(hadi kuweza kuzungumza nae imeshapita kazi kubwa.
Kundi la pili la kumsadia muhanga huyu:
Utatakiwa
kumpeleka katika Misikiti au Makanisani na upate mtu ambaye anahofu ya
mwenyezi Mungu au mwenye imani thabiti ya kiroho ndio anaweza kumsaidia
huyo mtu kwa maombi, vinginevyo sehemu zingine basi huwa ni anatoka na
kurudi au kumvaa yule anayemtibu na kuanza kumshughulikia yeye na
inatakiwa busara kubwa sana katika kumuuguza mtu wa hivi vinginevyo
yanatoka kwake yanakukuta wewe.
SABABU ZA KUMKUMBA MTU:
Zipo sababu nyingi za haya madudu kumkumba mtu hapa nitataja chache tu kwanza:
1: Kukaa na Shahawa muda mrefu
2: Kuchezea baharini nyakati za magharibi
3: Kuingia mkataba kwa ajili ya kupata mali
4: Kujichua au kujisaga maeneo ya chooni au maliwato Maarufu kama PUNYETO, (sio BAFUNI)
5: Kulala Uchi Huku mwili ukiwa na mafuta peke yako.
6: Kulala peke yako ukiwa nusu uchi huku umeweka marashi au air freshener bila kusali
7: Kulala huku kioo kikikuangalia upo uchi
8: Kufanya ngono kinyume
9: Kuchungulia watu wakifanya mapenzi
10: Kukojoa au kumwaga shahawa Baharini/kisimani/mtoni/ndani ya mbuyu
11: Kutupiwa jini huyu anakuwa katika mfumo wa popo bawa
MAELEZO:
Hapo katika sababu nilizoainisha za kutolea maelezo ni mbili tu zingine zinaeleweka na makala za watu wengine zilishazieleza
1: Kukaa na Shahawa muda mrefu
Elewa ya kuwa
viumbe hawa hupenda sana harufu ya shahawa na wanapoiskia wao huona raha
ni kana kwamba ni kilevi hivi chenye kuwapa tulizo la akili zao.
Vile vile kwa
watu ambao hukutwa na ndoto nyevu kisha aiamke basi wao hukimbilia
kufyonza hizo mbegu mapema pindi zinapokuwa zimetoka kuwahi uhai ule wa
mbegu ndio maana baadhi ya watu wengi huota wameshusha mbegu nyingi
lakini akitizama kwenye shuka vinakuwa kama matone tu,
2: Kuingia mkataba kwa ajili ya kupata mali
Hapa mara nyingi mtu huyu huenda kutafuta jini ambaye atakuwa nae kimapenzi na ampe mali:
Sasa huko anakuwa
kapewa masharti matatu: asinywe pombe, asivute sigara na asiwe na
mwanamke tofauti na yeye huyo jini, au mwanaume tofauti na yeye, kwa
muda atakuo kuwa kautaka yeye:
Hapo utaaambiwa
usubiri usiku wa jumamosi saa sita usiku ikifika hiyo saa utatakiwa
mazingira ya ndani kwako yawe safi na pia uchome udi saba kikiwa chumba
kipo tupu kisha zikiisha udi hizo aingize kitanda ambacho atakuwa
kakiandaa kiwe cha chuma kipakaliwe rangi nyeupe na nyeusi na kwa siri
sana anachora picha ya nyoka aliyetoa ulimi nje, kisha baada ya hapo
aweke shuka godoro atandike shuka nyeupe na pazia ziwe nyeupe na awe
anagamba la nyoka kisha alichome moto abaki alivyozaliwa na mwili wake
aupake mafuta yang'ae kisha ashikilie udi baada ya kuchoma gamba la
nyoka kisha aseme maneno haya mara 7 (*******************************************)baada ya hapo utasema jinsia kwa
sauti ya hisssssssssssss kama vile nyoka anasema akiwa kainama
atakapoinua tu kichwa chake kuangalia kwenye mlango wa chumba hicho
anachofanyia ujinga wake huu. atakutanisha macho yake na binti mrembo
ambaye urembo wake kwa yeye muhanga ataona duniani hajawahi kutokea na
vigezo vyote anavyotaka kuviona kwa binti mrembo au kijana mrembo
ataviona kwa kiumbe huyo, atazungumza nae kisha atamwambia kila
anachotaka na hata chelewa kwa muda anaotaka atakuwa kampatia, baada ya
makubaliano atafanya nae ngono na kisha atamuachia kama ni pete au cheni
ambayo atakaa nayo na atakuwa kakubali kuolewa na kiumbe huyo basi
akimtaka popote saa yoyote atatakiwa asugue pete hiyo kwenye meno au
kubusu na shetani huyo atatokea hapo hapo hata kama yeye atakuwa
magharibi na jini huyo awe mashariki.
Na ukimuona mtu anafanya haya muonyeshe thread hii ajue anathubutu kudiriki na kitu gani.
baada
ya hapo watu wengi hawaoni starehe zaidi ya hizi 3 sasa mwanzo wengi
hujaribu na kuona ni rahisi vile kiumbe hicho hata ukiambie kikae umbile
la nani kitajibadili na hata ukiambie kiigize sauti yake hakita kosea
na kitakupenda sana ila sasa ukosee kikutie adabu. (Utamaliza waganga na
waganguzi/maadamu ni maagano ulifanya mwenyewe hiyo ni zima yako) na
ukitaka kukiondoa kinaondoka na vyote kilichokupa. wengine vikiwazoea
huanza kuwaambia toka tu nje ya mapenzi hamna shida sasa mtu anavurugika
taratibu anahisi anaishi na binadamu akiona anafoka hakajibu kanalia
akifanya visa kana vumilia siku umefanya jambo nje ya makubaliano utaona
cha mtema kuni
Nikijaaliwa taongezea nyama kwenye thread hii kwa maana kuna mengi ya kufahamu.
KUMBUKA:
kila unapokaa
muombe Mwenyezi Mungu akukinge na viumbe hivi maana vikikukumba kutoka
huwa ni vigumu sana hadi upate mwenye maarifa navyo
+255757570194
+255757570194
No comments:
Post a Comment