Sunday, October 20, 2019

MJUE JINI MAHABA: Fahamu Mengi kuhusu jini mahaba +255757570194

MJUE JINI MAHABA: Fahamu Mengi kuhusu jini mahaba

Habari wakuu!
Wengi miongoni mwenu huona kila ninapotoa thread huona kama vile hufundisha uchawi lakini kwa mwenye akili timamu hupata mafundisho kwa asilimia kubwa sana!
kumekuwa na tungo nyingi sana kuhusu jini mahaba na maelezo mengi sana kuhusu jini huyu lakini pia watu wengi sana wanaropoka tu bila kumjua lau kama wangemfahamu basi wangezidi kumuomba Mwenyezi Mungu awaepushe na mtihani wa kiumbe hiki

MJUE JINI MAHABA:
Jini mahaba ni moja kati ya majini waliokuwa na nguvu sana na waliopo karibu sana na ufalme wa Dajjal/Shetani/Ibilisi/Lucifer/ ambaye pia wengine humuita mpinga christo.
Elewa ya kuwa ndugu yangu unaesoma makala hii kwamba kuna daraja tano tu za majini katika ulimwengu huu tunaoishi miongoni mwa ukubwa wa tabaka la majini ambayo yanasadikika kuwa milioni 72 elfu hii ni idadi iliyopigwa na baadhi tu ya mashetani wenyewe lakini tukizungumzia kiasiri ya majini hawa wapo katika makundi matano peke yake,
watu wamekuwa wakidanganywa sana kwa hadithi na baadhi ya tungo za viumbe hawa lakini unachotakiwa kuelewa ni kwamba idadi ya viumbe hawa kwa wingi wao anayejua ni mwenyezi Mungu peke yake na hakuna mwingine,
elewa pia ya kwamba majini hawa mtu akikwambia masubiani,masharifu,mashetani,mizimu,vibushuti,vinyamkela,mapepo,makudam,muwakili,ruhani,jini mahaba,makata,shetani,subisubi na yote yalew majina mengine unayoyajua hayo yote yapo kwenye kundi moja tu MAJINI hayana tofauti isipokuwa tu kwa mageuzi ya maumbile yao au uhasama wao yanayofanya au misaada yanayotoa ndio hupewa majina tofauti tofauti kulingana na kile yalichomfanyia au yanavyoonekana,
Sasa nikija kujaaliwa basi nitawaelezea majini ili kila atakaye kuwa anatamka jini aelewe anachosema na sio kutamka tu.

Turejee kwenye kumjua huyu tuliyemkusudia,

Maana ya Jini mahaba: 
asili ya jina hili ni jina lililotungwa tu na sisi wenyewe watanzania ili kuweza kutambulisha ni kiumbe cha namna gani tunachokuwa tumekusudia lakini kwa maelezo unatakiwa ufahamu kuwa jini huyu kazi yake na katika mambo ambayo anayafanya zaidi ni kuhakikisha zinaa inatawala na kazi zote zinazohusiana na ngono, 

Baadhi ya kazi zake:

Jini huyu hutumika kutumia watu ndoto za ngono,hutumika kuwalawiti wanaume kwa wanawake kama popo bawa hutumika pia kuwafanya au kuwashawishi wale alionao kuingilia au kuingiliwa kinyume na maumbile, kuwaingilia watu na kuwafanyia michezo ya kinyume na maumbile hutumika pia kuuwa kwa kubaka pia shetani huyu,hutumika vile vile katika kuleta ufukara, hutumika pia katika kuwafanya wazee na watu wazima kuzini na watoto wadogo na huwafanya watu wawe na ashiki kupindukia lakini pia kubwa katika mambo anayoyafanya ni kuwaondolea wahanga hisia za kimapenzi na kumfanya mwanaume asiweze kusimamia uume barabara unakuwa umelegea na pia kuwaondoshea wanawake radha ya mapenzi na wengine huwafanya kukosa kabisa hamu ya mapenzi na kuwapa mvuto kwenye jinsia inayofanana nao,

Baadhi ya watu humuita popobawa kulingana na yale aliyoyafanya na wengine humuita jini mahaba kulingana na alichofanya wengine humuita majina wanayoyajua wao lakini wazungu hawa huwaita Succubi au Succubus yaani hiyo mmoja anakuwa ni dume na mwingine ni jike.

Yote kwa yote elewa ewe ndugu yangu kuwa viumbe hawa hawana wema kwa mtu zaidi ya kuweka nae mikataba ya uhakika kwamba atashindwa na kuweza kukosea masharti kisha lile analohitaji yeye kuanza kulifanya kwa muhusika,

WALIOATHIRIWA:
 
Mara nyingi walioathiriwa na kiumbe huyu huwa wanakuwa wasiri sana kwa kuhofia fedheha kwenye jamii na pia wengi kati ya wao fedheha ikizidi huanza kutumbukia katika ulevi uliopindukia au kuvuta bangi na vinginevyo ili tu kuweza kuficha aibu aliyo nayo.


UTAJIJUA VIPI KAMA KAKUKUMBA:
watu wengi mara ya kwanza anapowakumba huwafanya au kuwaingilia au kushiriki nao kinyume na maumbile na pia huwafanya wahanga kuwa ni wenye kujificha sana na aibu hii hata kutafuta msaada kwa maana humtia aibu katika sura yake kuzungumzia jambo hili na kumjaza upepo wa mawazo kuwa yeye akisema au akitaka msaada ataonekana vipi hivyo anakuwa anacheza na akili ya muhusika,
Wengi huota wakifanya mapenzi na Mama zao au baba zao hata kaka au dada au mtu yeyote unaemuheshimu kama shangazi na wengineo.

Muhanga mwingine hujikuta akipitiwa tu na usingizi basi huota mwanamke anakuja na kuanza kumlazimisha au mwanaume wafanye nae mapenzi kinyume baada ya hapo muhusika huishiwa nguvu na kukubali kufanya au kufanyiwa, wengine huona kabisa kama kivuli live kikilazimisha kumuingilia sasa pale ambapo hata sema na kuhangaika kutafuta msaada wa hili basi kiumbe yule huanza kumfanyia hayo na kumshurutisha mambo mengine yaliyokuwa machafu na kumuadhiri mbele za watu na kumfanya ajihisi kuzalaulika na kuchukiwa bila sababu na humfanya kuwa ni mtu mwenye hasira za hovyo au mtu wa kulipuka hovyo, jazba zinakuwa karibu nae kwa muda mwingi.

Muhanga mwingine huyu humkumba na kumuotesha ndoto kuwa anawekewa vidole na watu sehemu hizo za siri na kumkusanyia kundi la watu ndotoni wakionyesha kumcheka na kumdhalau,

Muhanga mwingine huyu humkumba na kumfanya live hata watu wakawa wanaona kinachoendelea bila kumuona anayefanya na kuanza kuingiwa na hofu kubwa hapa wengine hufungiwa ndani kwa kuficha fedheha nje kwa watu na asijulikane kinachofanyika ndani.
zipo aina nyingi sana za huyu shetani zilizo mbaya na za aibu kabisa wengine pia huzijua waliokwisha kukutana na wahanga au wahanga wenyewe. hizi nimeweka chache tu, zingine ni kama kutekenywa sehemu za siri na kuzikwa sehemu za maziwa bila kumuona anaefanya hivyo na wengine kuingiziwa vidole bila kuona anayefanya hivyo live.

Haya ikiwa hayajakukuta au hujaona basi usidhalau na kupuuza kwa maana siku kinakutokea usione kitu kipya au usikutwe ukiwa hujui,

TIBA YAKE:
katika maradhi ambayo huwashinda matabibu wengi ni haya ya mashetani hawa wa mahaba kwa maana hutakiwa tabia yule kufanya mawili kati ya haya:
1: Kufunga yule jini na kwenda kumtupa mbali(au kama kafanya mtu kumpa mwenyewe mzigo wake)
2: Kumuua yule shetani kwa maana si rahisi kumtoa kwa makubaliano aondoke/ukitaka kukubaliana nae ili aondoke utakiwa kufanya atakayo amuru anaweza kukwambia ushiriki jambo lolote la kishetani ili amuondokee(hadi kuweza kuzungumza nae imeshapita kazi kubwa.

Kundi la pili la kumsadia muhanga huyu:
Utatakiwa kumpeleka katika Misikiti au Makanisani na upate mtu ambaye anahofu ya mwenyezi Mungu au mwenye imani thabiti ya kiroho ndio anaweza kumsaidia huyo mtu kwa maombi, vinginevyo sehemu zingine basi huwa ni anatoka na kurudi au kumvaa yule anayemtibu na kuanza kumshughulikia yeye na inatakiwa busara kubwa sana katika kumuuguza mtu wa hivi vinginevyo yanatoka kwake yanakukuta wewe.

SABABU ZA KUMKUMBA MTU:
Zipo sababu nyingi za haya madudu kumkumba mtu hapa nitataja chache tu kwanza:
1: Kukaa na Shahawa muda mrefu
2: Kuchezea baharini nyakati za magharibi
3: Kuingia mkataba kwa ajili ya kupata mali
4: Kujichua au kujisaga maeneo ya chooni au maliwato Maarufu kama PUNYETO, (sio BAFUNI)
5: Kulala Uchi Huku mwili ukiwa na mafuta peke yako.
6: Kulala peke yako ukiwa nusu uchi huku umeweka marashi au air freshener bila kusali
7: Kulala huku kioo kikikuangalia upo uchi
8: Kufanya ngono kinyume
9: Kuchungulia watu wakifanya mapenzi
10: Kukojoa au kumwaga shahawa Baharini/kisimani/mtoni/ndani ya mbuyu
11: Kutupiwa jini huyu anakuwa katika mfumo wa popo bawa

MAELEZO:

Hapo katika sababu nilizoainisha za kutolea maelezo ni mbili tu zingine zinaeleweka na makala za watu wengine zilishazieleza

1: Kukaa na Shahawa muda mrefu
Elewa ya kuwa viumbe hawa hupenda sana harufu ya shahawa na wanapoiskia wao huona raha ni kana kwamba ni kilevi hivi chenye kuwapa tulizo la akili zao.
Vile vile kwa watu ambao hukutwa na ndoto nyevu kisha aiamke basi wao hukimbilia kufyonza hizo mbegu mapema pindi zinapokuwa zimetoka kuwahi uhai ule wa mbegu ndio maana baadhi ya watu wengi huota wameshusha mbegu nyingi lakini akitizama kwenye shuka vinakuwa kama matone tu,

2: Kuingia mkataba kwa ajili ya kupata mali
Hapa mara nyingi mtu huyu huenda kutafuta jini ambaye atakuwa nae kimapenzi na ampe mali:
Sasa huko anakuwa kapewa masharti matatu: asinywe pombe, asivute sigara na asiwe na mwanamke tofauti na yeye huyo jini, au mwanaume tofauti na yeye, kwa muda atakuo kuwa kautaka yeye:
Hapo utaaambiwa usubiri usiku wa jumamosi saa sita usiku ikifika hiyo saa utatakiwa mazingira ya ndani kwako yawe safi na pia uchome udi saba kikiwa chumba kipo tupu kisha zikiisha udi hizo aingize kitanda ambacho atakuwa kakiandaa kiwe cha chuma kipakaliwe rangi nyeupe na nyeusi na kwa siri sana anachora picha ya nyoka aliyetoa ulimi nje, kisha baada ya hapo aweke shuka godoro atandike shuka nyeupe na pazia ziwe nyeupe na awe anagamba la nyoka kisha alichome moto abaki alivyozaliwa na mwili wake aupake mafuta yang'ae kisha ashikilie udi baada ya kuchoma gamba la nyoka  kisha aseme maneno haya mara 7 (*******************************************)baada ya hapo utasema jinsia kwa sauti ya hisssssssssssss kama vile nyoka anasema akiwa kainama atakapoinua tu kichwa chake kuangalia kwenye mlango wa chumba hicho anachofanyia ujinga wake huu. atakutanisha macho yake na binti mrembo ambaye urembo wake kwa yeye muhanga ataona duniani hajawahi kutokea na vigezo vyote anavyotaka kuviona kwa binti mrembo au kijana mrembo ataviona kwa kiumbe huyo, atazungumza nae kisha atamwambia kila anachotaka na hata chelewa kwa muda anaotaka atakuwa kampatia, baada ya makubaliano atafanya nae ngono na kisha atamuachia kama ni pete au cheni ambayo atakaa nayo na atakuwa kakubali kuolewa na kiumbe huyo basi akimtaka popote saa yoyote atatakiwa asugue pete hiyo kwenye meno au kubusu na shetani huyo atatokea hapo hapo hata kama yeye atakuwa magharibi na jini huyo awe mashariki. 
Na ukimuona mtu anafanya haya muonyeshe thread hii ajue anathubutu kudiriki na kitu gani.
baada ya hapo watu wengi hawaoni starehe zaidi ya hizi 3 sasa mwanzo wengi hujaribu na kuona ni rahisi vile kiumbe hicho hata ukiambie kikae umbile la nani kitajibadili na hata ukiambie kiigize sauti yake hakita kosea na kitakupenda sana ila sasa ukosee kikutie adabu. (Utamaliza waganga na waganguzi/maadamu ni maagano ulifanya mwenyewe hiyo ni zima yako) na ukitaka kukiondoa kinaondoka na vyote kilichokupa. wengine vikiwazoea huanza kuwaambia toka tu nje ya mapenzi hamna shida sasa mtu anavurugika taratibu anahisi anaishi na binadamu akiona anafoka hakajibu kanalia akifanya visa kana vumilia siku umefanya jambo nje ya makubaliano utaona cha mtema kuni

 
Nikijaaliwa taongezea nyama kwenye thread hii kwa maana kuna mengi ya kufahamu.

KUMBUKA:
kila unapokaa muombe Mwenyezi Mungu akukinge na viumbe hivi maana vikikukumba kutoka huwa ni vigumu sana hadi upate mwenye maarifa navyo
+255757570194

DALILI CHACHE 20 ZA MTU ALIEKUMBWA NA JINI +255757570194

DALILI CHACHE 20 ZA MTU ALIEKUMBWA NA JINI

Zifuatazo ni baadhi tu ya dalili za mtu anayekubwa na jini wa kutumwa au wa kupamia:

1.Kuumwa kichwa upande mmoja,maskio,meno,mgongo na kifua kuwa kinabana
2.Kuumwa tumbo chini ya kitovu
3.Moyo kwenda mbio na kushtukashtuka bila sababu
4.Mwili kuwa na ganzi maumivu makali na kizunguzungu
5.Kuumwa tumbo sana kwa kina mama na kupata damu kidogo sana isivyo kawaida au nyingi sana
6.Kujihisi vitu vinatembea mwilini
7.Kutingishika na hata kulia bila sababu za msingi
8.Kufunga hedhi bila ujauzito au hata kutopata ujazito wakati vipimo vinaonyesha hauna matatizo yyte
9.Kuota una mimba,unazaa,unanyonyesha au unabeba watoto
10.Kujaa tumbo na kuhisi kitu kinacheza tumboni bila uja uzito
11.Kuharibika mimba baada ya kuota unaingiliwa na mtu anayetisha
12.Ndoto za tendo la ndoa mara kwa mara
13.kuvurugikiwa mipango ya ndoa mara kwa mara
14.Kuhisi kama umekaa au umesimamiwa na mtu
15.Kutopenda ibada na kupenda sana maasi
16.Kuwa na hofu bila ya sababu
17.Kuota ndoto za kutisha,unazikwa,unakufa,jeneza,unatumbukia shimoni,unapaa nk
18.Kulia,kucheka,kupiga kelele au kuongea hali ya kuwa upo usingizini
19.Kuota unaongea na watu waliokufa
20.Kushtuka mara kwa mara usingizini
Hizi ni baadhi tu na chache sana za watu waliokumbwa na majini zingine ni advance mfano:
1: kuota unazini na mama baba au watu zaidi ya wawili mnazini,
2: kuota unaoa na kumpa mtu taraka hapo hapo na kuzini na mama au baba wa mwenza
3: kujihisi una mwili mkubwa kuliko watu wote na unawaona kama sisimizi hali inayokuja na kupotea,
4: Kuota wewe ni mdogo na wanaokuzunguka ni watu wazima na wamekubeba hali ya kuwa ni mtu mzima
Zitaendelea dalili zingine..
+255757570194

KUFARAKANISHA AU KUTENGANISHA WATU +255757570194










KUFARAKANISHA AU KUTENGANISHA WATU

KUFARAKANISHA AU KUGOMBANISHA
MARA KADHAA nimepokea malalamiko watu wanachukuliwa waume zao wake zao au wanachukiwa na watu ofisin ambao wanajifanya wapo katibu na mabosi.
sasa kufarakanisha au kuyengenisha fuata maelezo kwa makini ukishindwa ndo unitafute. kuna njia nyingi sana ntazzungumza kwenye group leo nawapa hii
hii inahusiana na mafusho sambamba na kafara la faraqa
mafusho yake ni haya 1. Sandal nyekundu, 2. Haltiti, 3. washqu (uwatu) 4. Miatsaila 5. maganda ya karanga. 6. magadi 7. ugoro 8.shubili Unachoma mafusho hayo muda zohari
FUSHA KWA CKU TATU HUKU UKINUIA HITAJ LAKO UKIMALIZA FANYA HIVI
Mahtaji Chungu kipya Kuku kinyavu Yule mwenye manyoya yalosimama Mahindi Makapeni nyeusi Jiko na mkaa
Andika majina ya unaowataka wagombane ndani ya chungu kwa kuzipa nafasi hzo heruf yaan kwa kuzipishanisha utaandika na tarasimu yake
Ukimaliza mchinje Yule kuku damu ikimiminikia kwenye chungu
Bandika hicho chungu kwenye moto uwe mkali hakikisha damu ikauke Weka mahindi koroga huku ukiwa unanuwiya unachotka na uweke tageti ya ck yaan nataka baada ya ck fulan Kila mtu awe na hamcn zake wameshagombana
Endelea kukoroga mpaka mahindi yaungue yageuke vumbi
Epua Kakivunje njia panda kikiwa cha moto ukiondoka usigeuke nyuma
wakat wakvunja tamka hiv ewe njia panda kama zlvyokutana barabara hv najua nawao walkutana wakaunganga kama ziligowanyika barabara hz naomba na wao kuanzia leo kila mtu ashike njia yake wasipatane kiangushe kwa nguvu ili kivunjike
Subr majibu kwa ck ulizokadiria
Vtu vya kuzingatia lazima kazi hii Ifanywe na mtu aliyeonewa kweli ukifanya kwa ubaya inakurudia
Pili lazma ifanywe muda maalum ambao unahusiana na faraq
Una tatizo la ndoa mahusiano kazi biashara nguvu za kiume Nyota nk+255757570194

KUMUADHIBU MWIZI NA KURUDISHA KILICHOIBIWA +255757570194


DAWA YA MWIZI AU MTU ALIYEKUZULUMU
HII ni kwa wale walioibiwa jinsi ya kurudisha ktu chako na kuadhibu mwizi haraka
mahitaji
UNGA WA MAJAN YA MBAAZ
KITAMBAA CHEUPE
BIMBILISA MAVI NA MZIGO WAKE
MRINGARINGA
MCHANGA WA ENEO LILILOIBIWA
MAANDALIZI
SAGA VTU VYOTE UPATE UNGA WAKE uweke juu ya kitambaa  kisha nuia unachotaka kwa mwizi wako
Mfano kaiba kuku basi awikie tumboni kama simu iitie
tumboni kama hela basi asikie chenchi tumbon
n.k. kisha ukimaliza kunuia vifunge pamoja
kavining'inize panapowashwa moto kila siku
NDANI YA CK SABA UTAPATA MAJIBU KWA KILE ULICHOKIKUSUDIA
Ucfanye kwa kuonea watu na huyu bimbilisa mavi anaweza kutumika kusafirisha mtu asirudi tenA v+255757570194

KUSAFISHA NYOTA, MVUTO WA BISHARA KWA KUTUMIA MUOSHA FEDHA +255757570194

FAHAMU KUHUSU MMEA WA MUOSHA FEDHA
Muosha fedha unaingia kwenye orodha ya mimea saba ambayo inafanya kazi kubwa katika hitaji binaadam. Mti huu huweza kungarisha nyota, kuvuta watu biashara pamoja na mambo mengine.
Miongoni mwa miti saba ambayo inafanana kikazi na muosha fedha ni pamoja na mwita, mfunguo, muharaka miti mitatu naihifadh.
Miti Hii km utaiweka pamoja inaweza kukupa matokeo haraka kwwnye kazi iliyokusudiwa.
Kwa matumizi kwa ajili ya biashara
Tafuta muosha fedha Chumvi ya mawe Pilipili nyekundu unga Mwita
Changanya pamoja choma eneo lako la biashara kwa manuiz asubuhi kabla ya kufungua kwa muda wa ck tatu
Kwa kujifungua na nuksi au mikosi
mambo hayaendi Sawa unalopanga haliwi
Tafuta Kindu 7 Muosha fedha Nazi ya mdondo. Yai la kuku wa kienyeji. majani ya mbaazi unga Mwembe jini
Chukua kindu saba usiku wakati unataka kulala kisha uzifunge fundo moja moja kisha unasema mimi nimefungwa kilakitu na alienifunga simjui sasa namimi nimejiongezea kifungo nafunga njia zangu pia nafunga ufalme wangu na nafunga nyota zangu hadi siku zitakapo fungua hizi kamba. Kisha unaziweka mchagoni unalala na ikifika asubuhi unazitia ndani ya maji kwenyendoo ya kuogea weka na nlvyovtaja hapo juu.
Oga hivyo vyote vikiwa ndani ya hiyo ndoo ya maji kisha unaanza kufungua kindu kwa kusema,
"alie nifunga alijua kamaliza sasa kuanzia sasa najifungua" Ukimaliza kuzifungua uzichome moto halafu nazi na yai ni vya kuvuja kwa manuizi, Unasema wewe yai umefungwa na sijui kama unamtoto wa kike au wa kiume namimi sijui alie nifunga kama ni wa kike au ni wa kiume nitakavyo kufungua wewe yai namimi nifunguke haraka sana, unalivunja. Kisha unakamata nazi unasema wewe nazi hufunga na kufungua namimi najifungua kuanzia sasahivi nafungua nyotayangu, nafungua ufalme wangu, nafungua, nafungua bahati zangu kwa uwezo wa muumba mbingu na ardhi.
Ukimaliza kuvunja zoa katupe jalalan
Kwa ajili ya bahati au mvuto wa mtu
Tafuta muosha fedha unga
Unga wa Misk
Mafuta ya Misk
Mafuta ya alizet
Changanya pamoja Paka na kuchoma kwa manuizi ndani ya ck 7 biidhini llah mambo yako yatafunguka
Kazi zote muelekee mungu kwanza
Kwa tatizo lolote  +255757570194

NYOTA +255757570194

 NYOTA  +255757570194
UNAJIMU AU ASTROLOJIA NI ELIMU JUU YA UHUSIANO KATI YA NYOTA NA MAISHA YA BINADAMU DUNIANI. WANAZUONI WA UNAJIMU WANAELEZA YA KWAMBA NYOTA ZINAATHIRI MAISHA YA WATU NA MATUKIO KAMA AMANI, VITA AU MAAFA. MAHUSIANO HAYA HAYAJAWEZA KUTHIBITISHWA NA SAYANSI YA FIZIKIA AU SAYANSI NYINGINE. ALAMA ZA NYOTA 12 NI MSINGI WA FALSAFA HII YA UNAJIMU.

ASTROLOGIA IMEKUWA IKITUMIKA KWA MIAKA MINGI LAKINI SIKU ZOTE IMEKUWA IKIPATA UPINZANI MKUBWA TOKA KWA WANA SAYANSI.

ASTROLOJIA INA MISINGI TOKEA ENZI ZA ZAMANI WAKATI SAYANSI ILIPOKUWA YA CHINI NA IMANI ZA KIROHO NA KIUNGU ZIKIWA ZA KIWANGO CHA JUU KATIKA JAMII NYINGI.

BAADHI YA TAFITI ZILIZOFANYWA KUCHUNGUZA USAHIHI WA ASTROLOJIA UNAONYESHA KUNA USAHIHI WA ASILIMIA KAMA 3O TU. HII SI HABA,KUNA UKWELI BASI KATIKA HILI JAPO BADO KUNA UPINZANI MKUBWA TOKA KATIKA ULIMWENGU WA SAYANSI YA KISASA.

[SOMA PIA:MADHARA YA MWEZI KATIKA HISIA NA TABIA ZA BINADAMU:KUNA UKWELI? ,  NYOTA NA KAZI ZENYE MAFANIKIO ]
TABIA ZA WATU NA ALAMA ZA NYOTA

ALAMA ZA NYOTA ZINABASHIRI TABIA NA HAIBA YA BINADAMU KATIKA DUNIA. MPANGILIO AU NAFASI YA SAYARI KATIKA MZUNGUKO WAKE ANGANI UNAAMINIKA KULETA ATHARI KWA BINADAMU NA MATUKIO KATIKA DUNIA.

KUNA ALAMA 12 ZA KIASTROLOJIA. KILA MOJA INA MVUTO WA NGUVU WA KIPEKEE TOKA KATIKA NYOTA.

ALAMA HIZI NI KAMA IFUATAVYO:

    SAMAKI (PISCES):FEB 19 – MACHI 20
    KONDOO (ARIES): MACHI 21 – APRILI 19
    NG’OMBE (TAURUS): APRILI 20 – MEI 21
    MAPACHA:(GEMINI ): MEI 22 – JUNI 20
    KAA(CANCER): JUNI 21 – JULAI 22
    SIMBA(LEO): JULAI 23 – AGOSTI 22
    MASHUKE(VIRGO):AGOSTI 23 – SEPT 22
    MIZANI (LIBRA): SEPT 23 – OKT 22
    NG’E (SCORPIO): OKT 24- NOV 21
    MSHALE (SAGITTARIUS): NOV 22- DES 21
    MBUZI(CAPRICORN):DES 22 – JAN 19
    NDOO (AQUARIUS):JAN 20 – FEB 18

MAKUNDI YA ALAMA ZA NYOTA:

ALAMA HIZI 12 ZA NYOTA ZINAGAWANYIKA KATIKA ELEMENTI 4 ZIJULIKANAZO KAMA:

    MOTO:YENYE MATAMANIO YA MAFANIKIO AU MAKUU,DADISI
    MAJI:YENYE KUBADILIKA NA YENYE UWEZO WA UFAHAMU WA NDANI
    HEWA:IMARA NA YENYE KUKUZA AU KUENDELEZA
    UDONGO:YENYE ELIMU AU UWEZO WA KUTAMBUA NA YENYE KUHAMASISHA

HIZI NI ELEMENTI NNE ZINAZOONGOZA ASTROLOGIA. KILA KIMOJAWAPO KINABEBA TABIA FULANI.

ALAMA HIZI 12 ZA NYOTA ZIMEGAWANYIKA KAMA IFUATAVYO:

    MOTO: KONDOO, SIMBA,MSHALE
    MAJI: NG’E, SAMAKI, KAA
    HEWA: MAPACHA, MIZANI, NDOO
    UDONGO: NG’OMBE,MASHUKE,MBUZI

KILA ALAMA YA NYOTA 12 ZIMEGAWANYIKA PIA KATIKA MAKUNDI MENGINE MATATU AMBAYO NI:

    YENYE UMUHIMU AU MSINGI “CARDINAL”: KONDOO, KAA,MIZANI,MBUZI
    YENYE KUBADILIKA “MUTABLE”: NG’OMBE, SIMBA, NG’E NA NDOO
    ISIYOBADILIKA “FIXED”: MAPACHA, MIZANI, MSHALE NA SAMAKI

 ALAMA AMBAYO IKO KATIKA MOTO NA IKO KATIKA KUNDI LA MSINGI HUWA NA TABIA ZA UPINZANI NA UBISHANI WA HALI YA JUU KAMA KONDOO

ALAMA AMBAYO IPO KATIKA KUNDI LA UDONGO NA KUBADILIKA HUWA NA TABIA ZA UTULIVU WA HALI YA JUU KAMA NG’OMBE.
HAIBA NA TABIA ZA ALAMA ZA NYOTA
#1 NYOTA YA KONDOO: MACHI 21 – APRILI 19

ALAMA-ZA-NYOTA_KONDOO

    NI MWENYE MAAMUZI YASIYOPINDA NA MTENDAJI MZURI WA KAZI.
    ANATEGEMEA MAKUU JUU YAKE MWENYEWE NA KUTOKA KWA WENGINE
    MWENYE KUJITEGEMEA NA MWENYE ARI YA HALI YA JUU
    ANAUTHUBUTU WA KUJARIBU MAMBO MAKUBWA
    MWENZILISHI WA MAMBO NA MBUNIFU
    KIONGOZI
    MUONGEAJI
    NI MWENYE HISIA KALI NA ASIYE NA UVUMILIVU MKUBWA.
    MWAMINIFU KWA MARAFIKI NA FAMILIA
    ANAJALI MPENZI WAKE NA MWENYE HISIA KALI ZA MAPENZI

 #2
NYOTA YA NG’OMBE: APRILI 20 -MEI 20

ALAMA-ZA-NYOTA_NGOMBE

NI ALAMA YA UDONGO:

    NI MWENYE NGUVU NA MSTAHIMILIVU KIMWILI NA KIAKILI
    MAKINI NA MUANGALIFU
    ANA KIBURI NA ASIYEKUBALI KUSHINDWA KIRAHISI
    MSTAHIMILIVU
    MWENYE KUTEGEMEWA
    NI MGUMU KUBADILIKA
    ANAPENDA VITU VIZURI NA VYA THAMANI
    UNAPENDA UREMBO NA VITU VYA KUPENDEZA
    MWENYE HISIA ZILIZOFICHIKA
    HUENDA AKAONEKANA MBINAFSI LAKINI NI WENYE KUTOA WAKIWA NA MALI AU FEDHA.

 #3 NYOTA YA MAPACHA: MEI 21 – JUNI 20

ALAMA-ZA-NYOTA_MAPACHA

NI ALAMA YA HEWA:

    NI MWENYE KIPAJI KIKUBWA,MWENYE KUBADILIKA NA ANAYECHOKA HARAKA NA KUKATA TAMAA
    ANAFIKIRI KWA HARAKA NA MCHESHI
    NI MWASILIANAJI MZURI
    NI MTU ANAYEPENDA WATU NA MWENYE KUPENDA MABADILIKO.
    MWENYE KUAMUA KWA AKILI NA MBUNIFU
    HANA UTULIVU
    ANA MIPANGO NA MALENGO MAKUBWA
    MWENYE KUBADILIKA KIRAHISI

#4 NYOTA YA KAA: JUNI 21 – JULAI 22

ALAMA-ZA-NYOTA_KAA

NI ALAMA YA MAJI:

    ANAPENDA KUKAA NYUMBANI NA KUWA NA MAKAZI MAZURI YENYE KUMPAUTULIVU ,USALAMA NA AMANI
    ANAPENDA MARAFIKI NA FAMILIA. ANANPENDA KUFUATILIA HISTORIA YA UKOO
    HISIA ZAKE NI ZA WAZI NA NI RAHISI KUJULIKANA
    ANA HURUMA
    NI MWANGALIFU
    MKIMYA NA

 #5  NYOTA YA SIMBA: JULAI 23 – AGOSTI 22

ALAMA-ZA-NYOTA_SIMBA

NI ALAMA YA MOTO:

    KAMA ALIVYO SIMBA NI JASIRI NA MWENYE UTHUBUTU.
    ANAPENDA KUONEKANA NA WATU
    SANAA NI MOJAWAPO YA MAENEO AMBAYO ANAYAMUDU NA AMBAYO YANAMFANYA AFANIKIWE
    WANA MAAMUZI MAZURI NA NI WAIGIZAJI MAHIRI.
    NI WENYE MOYO WA KUTOA NA WENYE UPENDO MKUBWA
    NI VIONGOZI WAZURI NA WENYE NGUVU
    MWENYE MATUMAINI MAZURI
    MWENYE KUHESHIMIKA
    MSHINDANI
    MPANGILIAJI MZURI WA MAMBO YA KUFANYA
    MWENYE MVUTO

#6 NYOTA YA MASHUKE: AGOSTI 23 – SEPTEMBA 22

ALAMA-ZA-NYOTA_MASHUKE

NI NYOTA YENYE ALAMA YA UDONGO

    ANA MATEGEMEO MAKUBWA JUU YAKE MWENYEWE NA KUTOKA KWA WATU WENGINE
    NI MWENYE UJUZI NA MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA KAZINI
    NI MCHUNGUZI NA MDADISI WA MAMBO NA MWENYE KUFANYA KITU KIMOJA KWA WAKATI MMOJA.
    WAPANGILI WAZURI WA MUDA NA WATEKELEZAJI
    NI MDADISI NA MBISHI KATIKA KUHAKIKISHA MAMBO YANAFANYIKA KWA UKAMILIFU.
    NI WAFANYA KAZI WENYE UMAKINI NA NI WAANGALIFU KATIKA KAZI ZAO.
    WANAJALI AFYA

#7 NYOTA YA MIZANI: SEPTEMBA 23 – OKTOBA 22

ALAMA-ZA-NYOTA_MIZANI

NI ALAMA YA HEWA. MWENYE NYOTA YA MIZANI ANATUMIA MUDA MWINGI KATIKA KULETA USAWA NA HAKI NA KUSURUHISHA MIGOGORO.

MIZANI ANATUMIA AKILI ZAIDI KULIKO NGUVU ZA MWILI.

    HUSIMAMIA HAKI NA USAWA
    ANAPENDA SANAA NA UREMBO
    WABUNIFU WA SANAA
    NI MPENZI WA MUZIKI
    NI MUWAZI KATIKA KUONYESHA UPENDO
    ANA USTADI WA KUKABILIANA NA MAMBO YA KIJAMII
    ANATOA MATAZAMO WAKE PALE TU ANAPOCHOKOZWA AU ANAPOGUSWA KIHISIA
    MPENDA AMANI
    WENYE MVUTO WA KUPENDWA

#8 NYOTA YA NG’E: OKTOBA 23 – NOVEMBA 21

ALAMA-ZA-NYOTA_NGE

NI ALAMA YA NYOTA YA MAJI NA NI MWENYE HISIA NZITO

    ANAPENDA MAMBO MAKUBWA NA MAISHA YA MAZURI
    MJASIRIAMALI NAMWENYE UWEZO WA KUKABILIANA NA VIZINGITI VIKUBWA
    ANAPENDA MALUMBANO MAKALI
    WANATUMIA NGUVU
    JASIRI
    WASTAHIMILIVU
    WASHINDANI
    WANAUWEZO ,
    WACHUNGUZI WA MAMBO
    WASIRI
    NI MPENZI MZURI NA MWENYE TABIA ZA UMILIKI
    WANAJITEGEMEA
    NI WENYE MAAMUZI

#9 NYOTA YA MSHALE: NOVEMBA 22 – DESEMBA 21

ALAMA-ZA-NYOTA_MSHALE

NI ALAMA YA MOTO NA NI MWENYE MAPENZI MAZITO NA VITU

    MWANAFALSAFA NA MKUSANYAJI WA HABARI
    MWENYE UWEZO MKUBWA KIAKILI MA ANAPENDA CHANGAMOTO
    NI MWENYE NGUVU AMBAZO HUMFANYA MARA ZOTE AENDE MBELE.
    NI MWENYE KUPENDA UHURU
    NI MPENZI MWENYE MVUTO NA ANAPENDA KUMRIDHISHA MPENZI WAKE
    RAFIKI
    MWENYE ARI
    HAWANA UTULIVU
    WAAMINIFU NA WAKWELI
    WANAPENDA SAFARI

#10 NYOTA YA MBUZI: DESEMBA 22 – JANUARI 19

ALAMA-ZA-NYOTA_MBUZI

NI ALAMA YA UDONGO NA MWENYE KUHITAJI NYUMBA YENYE AMANI ILI KUHISI UKAMILIFU.

    MWENYE MALENGO , MIPANGO NA MATARAJIO MAKUBWA
    NI MTATUAJI WA MATATIZO KWA VITENDO NA MAPANGILIAJI MZURI WA MAMBO-MTENDAJI
    NI MWENYE MIPANGO NA MFUATILIAJI WA MIPANGO YAKE
    SI MSHIRIKISHAJI MZURI MPAKA AOMBWE AU ASUKUMWE.
    NI MPENZI MZURI NA RAFIKI WA MAISHA
    MGUMU KUBADILIKA
    MBISHI NA ASIYEKUBARI KUSHINDWA KIRAHISI
    MFANYABIASHARA
    MWAJIBIKAJI

#11 NYOTA YA NDOO: JANUARI 20 – FEBRUARI 18

ALAMA-ZA-NYOTA_NDOO

NI ALAMA YA HEWA:

    NI MBINAFSI NA ASIYEPENDA KUFUATA UTARATIBU AU SHERIA.
    WAKIPEKEE
    ANAEJITEGEMEA NA HUPENDA KUWA PEKE YAKE
    MWENYE HURUMA
    MUONA MBALI
    MWENYE UFAHAMU WA HALI YA JUU NMA MBUNIFU
    ANAFANYA MARAFIKI WA AINA MBALIMBALI
    ANA UTU NA MWENYE KUDAI HAKI
    ANAPENDWA NA WATU NA ANATEGENEZA URAFIKI KWA HARAKA
    ANAPENDA SANAA NA MAISHA YA ANASA.

#12 NYOTA YA SAMAKI: FEBRUARI 19 – MACHI 20

ALAMA-ZA-NYOTA_SAMAKI

NI ALAMA YA MAJI NA NI MWENYE UFAHAMU WA HALI YA JUU WA MAMBO.

    NI MKWELI NA MWENYE HISIA NZITO
    HANA UBINAFSI
    NI MPENZI MWAMINIFU NA RAFIKI
    MPENDA AMANI
    ANA HURUMA
    ANAJITOA
    WANA NDOTO
    WABUNIFU
    WANA AIBU

MJUE JINI MAHABA: Fahamu Mengi kuhusu jini mahaba +255757570194

MJUE JINI MAHABA: Fahamu Mengi kuhusu jini mahaba Habari wakuu! Wengi miongoni mwenu huona kila ninapotoa thread huona kama vile huf...